MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya
Ziwa, Patrick Kisaka (kulia) akitoa maelezo mafupi muda mfupi kabla ya
kukabidhi zawadi ya pikipiki aina ya bajajI kwa Mariam Karumba, mwanafunzi wa
mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT).
MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya
Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akikabihi funguo za bajaji kwa Mariam Karumba, mwanafunzi
wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT), baada ya kujishindiakatika
promosheni ya Vumbua Hazina chini ya Kizibo, inayoendeshwa na SBL nchini kote.
0 comments:
Post a Comment