• HABARI MPYA

    Tuesday, June 12, 2012

    TENGA AWAPA 'GWALA' TAIFA STARS KUUA NGE

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mchana ofisi za TFF, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Tenga amewapongeza Taifa Stars kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Gambia 'Nge' Jumapili, Uwanja wa Taifa, kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2014. Pia ameomba sapoti zaidi kwa timu hiyo.   Kulia ni Sadi Kawemba na kushoto ni Katibu Mkuu, Angetile Osiah. . Habari inakuja.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TENGA AWAPA 'GWALA' TAIFA STARS KUUA NGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top