TIMU ya taifa ya England imewasili Poland jana, huku mshambuliaji wa timu hiyo Wayne Rooney akiwataka wachezaji wenzake kujituma katika Euro 2012 na kusahau matokeo mabaya ya nyuma.
Tayari kwa kazi: Wayne Rooney anataka kuithibitishia dunia
Wanatua: Kikosi cha England kikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Krakow Airport jana tayari kwa Euro 2012.
Mashabiki: Watoto wa Poland wakiilaki England katika Uwanja wa Ndege wa Balice , Krakow
Autographs: Rooney, Andy Carroll, Scott Parker, Ashley Young na Jordan Henderson wakisaini
Mapokezi baab kubwa: Wachezaji wa England wakipewa shangwe wakati wanawasili katika hoteli ya Stary, Krakow
Wanaingia ndani: Nahodha wa England, kiungo Steven Gerrard anaonekana akifurahia kutua Poland
Tayari kupaa: Kocha wa England, Roy Hodgson na kikosi chake
Saini za mafanikio: John Terry juu na Wayne Rooney wakisaini bango la wadhamini kabla ya kuelekekea Poland kwa ajili ya Euro 2012
Anakwea ngazi: Wayne Rooney, Steven Gerrard, Roy Hodgson na Andy Carroll na Phil Jagielka wakipanda ngazi za ndege huko Luton kuelekea Krakow
Shangwe: Mashabiki wa England wakiitazama ndege ikiondoka Luton kuelekea Poland na Ukraine
Nani ni nani: (kutoka kushoto kuelekea kulia) Andy Carroll, Phil Jones, John Terry, Rob Green, Joe Hart, Jack Butland, Joleon Lescott, Martin Kelly, Danny Welbeck (mstari wa pili) Gary Neville (Kocha), Ray Lweington (Meneja Msaidizi), Jordan Henderson, James Milner, Glen Johnson, Scott Parker, Phil Jagielka, Stewart Downing, Ray Clemence (Kocha wa makipa), Dave Watson (Kocha wa makipa), (mstari wa tatu) Alex Oxlade-Chamberlain, Jermain Defoe, Theo Walcott, Steven Gerrard, Roy Hodgson (Meneja), Wayne Rooney, Ashley Cole, Ashley Young na Leighton Baines.
0 comments:
Post a Comment