Mwanzo > Untagged NATAKA KUWA KAMA MAMA... NATAKA KUWA KAMA MAMA... Ndivyo anavyoelekea kusema, mtoto Princess Mahmoud, ambaye mama yake Dina Ismail ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima. Kunako majaaliwa (INSHAALLAH) kibinti hiki kitatimiza miaka miwili Aprili 30, mwaka huu. Tuesday, January 20, 2009
0 comments:
Post a Comment