Mratibu wa mashindano ya gofu kwa niaba ya Zain Tanzania, Femin Mabachi (kulia) akikabidhi zawadi ya begi lenye vifurushi vya Zain kwa mshindi wa watoto wa mashindano ya gofu ya Zain/Lugalo Fiddle, Victor Joseph katika viwanja vya TPDF Lugalo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment