• HABARI MPYA

    Friday, March 02, 2012

    MAYWEATHER, COTTO KUMALIZA UBISHI ULINGONI MEI 5



    Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather (kushoto) na bingwa wa WBA uzito wa Super Welter, Miguel Cotto wa Puerto Rico wakiwa wamepozi katika Mkutano na Waandishi wa Habari, Grauman's Chinese Theatre huko Hollywood juzi. Mayweather na Cotto watapigania taji la WBA, uzito wa Super Welter, Mei 5 kwenye ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER, COTTO KUMALIZA UBISHI ULINGONI MEI 5 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top