Bondia Mjapan, Yota Sato, kulia, akimtandika konde la kulia
bingwa mtetezi wa taji kutoka Thailand, Suriyan Sor Rungvisai katika raundi ya
nne ya pambano la raundi 12 kuwania taji la WBC, uzito wa Super Fly kwenye
ukumbi wa Korakuen Hall mjini Tokyo juzi. Sato alishinda.
0 comments:
Post a Comment