KLABU ya Bayern Munich inaweza kuwa na Schweinsteigers msimu
ujao baada ya kaka wa mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani Bastian, kusaini
mkataba wa kujiunga na kikosi cha wachezaji wa akiba wa The Bavarians, klabu
hiyo imesema leo.Mshambuliaji Tobias Schweinsteiger, mwenye umri wa miaka 30, anatarajiwa
kuhama kutoka klabu ya Daraja la Tatu, Jahn Regensburg, ambako alikuwa Nahodha
na mfungaji bora wa timu kwa mabao yake 12 msimu huu. Bastian Schweinsteiger kwa sasa anasumbuliwa na maumivu ya
kifundo cha mguu na yuko nje kwa matibabu.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment