Robert Pera
Akiwa ana umri wa miaka 34, ana utajiri wenye thamani ya dola
za KImarekani Bilioni 1.5.
Mtaalamu huyo wa programua ya kompyuta ya Apple, ambaye aliibuka
mwaka 2005 na kuwa bilionea Oktoba mwaka 2011 wakati program yake ya Ubiquiti
Networks iliposambaa, hakuna ajabu hadi sasa hana mke. Anapiga kazi, anacheza hoops
na anaishi simpo tu katika nyumba yenye fenicha za kawaida na chumba kimoja tu
cha kulala huko San Jose.
|
0 comments:
Post a Comment