• HABARI MPYA

    Monday, May 04, 2015

    SEMINA YA TUZO ZA KILI 2015 KATIKA PICHA LEO DOUBLE TREE

    Mwanamuziki mkongwe wa dansi Tanzania, Shaaban Dede (kulia) wa bendi ya Msondo akisikiliza kwa makini hotuba wakati wa semina ya wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za muziki Tanzania, maarufu kama tuzo za Kili leo hoteli ya Double Tree By Hilton, Masaki, Dar es Salaam.
    Mtendaji Mkuu wa Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA), Doreen Sinare akizungumza jambo wakati wa semina hiyo
    Mwanamuziki wa Hip Hop, Nickson Simon 'Nick wa Pili' akizungumza jambo wakati wa semina hiyo
    Kutoka kulia wasanii, Six, Felly Kano na Mrisho Mpoto wakati wa semina hiyo
    Kulia ni Mdau wa muziki, Taji Liundi katika semina hiyo
    Wasanii Aika Marealle kulia na Vanessa Mdee kushoto

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SEMINA YA TUZO ZA KILI 2015 KATIKA PICHA LEO DOUBLE TREE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top