Kiungo Frank Lampard akiwapigia makofi mashabiki wa Manchester City wakati anatoka uwanjani kumpisha Jesus Navas dakika ya 76 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa Etihad leo. City ilishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Lampard na Sergio Aguero. Hii ilikuwa mechi ya mwisho ya Lampard aliyekuwa kwa mkopo Man City kabla ya kurejea Marekani. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
6 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment