Bondia Amir Khan (kulia) akimsukumia konde mpinzani wake, Chris Algieri (kushoto) katika pambano lao ubingwa wa dunia wa WBC Silver lililofanyika ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn, New York, Marekani usiku wa kuamkia leo. Khan alishinda pwa pointi za majaji wote 117-111 (wawili) na 115-113 ingawa hakuwa katika ubora wake uliotarajiwa. Kwa mara nyingine Khan amemtaka Floyd Mayweather apigane naye September PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FCT police investigate death of woman found bound, unconscious in Gwarinpa
hotel room
-
From Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja The Federal Capital Territory (FCT)
Police Command has opened a full investigation into the circumstances
surrounding ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment