Lionel Messi akikumbatiana na mchezaji mwenzake wa Barcelona, Xavi Hernandez baada ya kufunga bao la kwanza katika sare ya 2-2 na Deportivo la Coruna katika mchezo wa La Liga wa kumuaga Xavi, anayehamia Al Sadd ya Qatar baada ya miaka 17 ya kufanya kazi Camp Nou tangu 1998. Xavi Hernandez atacheza mechi moja ya mwishi Nou Camp, fainali ya Copa del Rey Mei 30, lakini leo mashabiki 90,000 walimuaga. Mabao ya Barcelona yalifungwa na Lionel Messi, wakati ya Deportivo yamefungwa na Lucas Perez na Diogo Salomao. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
James McClean confirms he DID throw a punch at Cardiff fan...and reveals why
-
Wrexham star James McClean has confirmed he threw a punch at a Cardiff fan
in self-defence before last week's all-Wales encounter in the Carabao Cup.
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment