Bondia James DeGale akiwa amemkandamiza konde mpinzani wake, Andre Dirrell katika pambano la ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa Super-Middle usiku wa jana mjini Boston, Uingereza. Muingereza DeGale mwenye umri wa miaka 29, ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu, Mcanada Alan Davis akitoa 117-109, Muingereza Howard Foster na Mcanada mwingine, Dan Fitzgerald wakitoa 114-112 katika pambano hilo ambalo DeGale alimuangusha chini mara mbili Mmarekani Dirrell.  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment