Mshambuliaji wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa KC. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Aaron Ramsey wakati la Hull lilifungwa na Stephen Quinn.
PICHA ZAIDI NENDA:
0 comments:
Post a Comment