• HABARI MPYA

    Monday, May 07, 2012

    BIN ZUBEIRY NAYE ANA MCHANGO WAKE MAFANIKIO YA AZAM


    Mbunge wa Kinondoni, Iddi Mohamed Azzan akimkabidhi BIN ZUBEIRY cheti cha pongezi za mchango wa mafanikio ya Azam FC, kilichotolewa na klabu hiyo katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte, katikati ya Jiji usikuwa jana. wa kwanza kushoto ni aliyekuwa MC wa shughuli hiyo, Paul James Sweya 'Giriki' na anayemfuatia Azzan ni Katibu Mkuu wa Azam, Nassor. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BIN ZUBEIRY NAYE ANA MCHANGO WAKE MAFANIKIO YA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top