KLABU ya Blackburn Rovers imeshuka daraja Ligi Kuu England na sasa msimu ujao itacheza Championship, baada ya kufungwa 1-0 nyumbani na Wigan jana.
Adui wa Rovers iliyohitaji ushindi tu kwenye mechi ya jana ili kubaki Ligi Kuu alikuwa ni Antolin Alcaraz aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 87 Uwanja wa Ewood Park.

Barclays Premier League | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Man City37275590276386
2Man Utd37275588335586
3Arsenal372071071472467
4Tottenham37199964412366
5Newcastle37198105548765
6Chelsea361710962412161
7Everton371411124739853
8Fulham371410134849-152
9Liverpool361310134338549
10West Brom37138164349-647
11Sunderland371112144545045
12Swansea371111154351-844
13Norwich371111155066-1644
14Stoke371111153451-1744
15Wigan371010173960-2140
16Aston Villa37717133751-1438
17QPR37107204163-2237
18Bolton37105224475-3135
19Blackburn3787224776-2931
20Wolverhampton37510223879-4125