• HABARI MPYA

    Sunday, May 06, 2012

    MESSI AMGARAGAZA RONALDO USIKU HUU

    Messi

    MATOKEO MECHI ZA USIKU HUU LA LIGA NA WAFUNGAJI WA MABAO

    UPINZANI wa Messi na Ronaldo katika kuwania kiatu cha dhahabu usiku huu umezidi kunoga- wakati timu zao zilipokuwa zikicheza mechi za Ligi Kuu ya Hispania, La Liga. Messi amefunga mabao yote manne katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Espanyol, wakati Ronaldo amefunga moja tu Real Madrid ikiilaza Granada 2-1. Messi sasa ana mabao 50 na Ronaldo 45 kila timu ikiwa imebakiza mechi moja kumaliza Ligi. Maajabu gani yatokee Ronaldo ampiku Messi? 

    05 May 
    Athletic Bilbao0 - 0Getafe
    San MamesAttendance (32000)
    Teams
    05 May 
    Atletico Madrid2 - 1Malaga
    JR Koke (68)
    LA Adrian (79)
    PdS Eliseu (37)
    Vicente CalderonAttendance (25000)
    Teams
    05 May 
    Barcelona4 - 0Espanyol
    LA Messi (11)
    LA Messi (pen 63)
    LA Messi (73)
    LA Messi (pen 78)
     
    Camp NouAttendance (98772)
    Teams
    05 May 
    Granada1 - 2Real Madrid
    FD Jara (4)CdSA Ronaldo (pen 80)
    D Cortes (og 90)
    Los CarmenesAttendance (22000)
    Teams
    05 May 
    Mallorca1 - 0Levante
    TI Pina (53) 
    ONO EstadiAttendance (19000)
    Teams
    05 May 
    Osasuna1 - 0Real Sociedad
    B Ibra (13) 
    Reyno de NavarraAttendance (21000)
    Teams
    05 May 
    Real Zaragoza2 - 1Racing Santander
    H Postiga (12)
    AC Lafita (77)
    FS Christian (10)
    La RomaredaAttendance (28000)
    Teams
    05 May 
    Sevilla5 - 2Rayo Vallecano
    P Baba Diawara (30)
    JTR Cala (42)
    P Baba Diawara (46)
    J Reyes (64)
    FO Kanoute (80)
    d Diego Costa (pen 36)
    d Diego Costa (77)
    Estadio Ramon Sanchez PizjuanAttendance (28000)
    Teams
    05 May 
    Sporting Gijon2 - 1Real Betis
    G Sangoy (pen 13)
    G Sangoy (54)
    V Jorge Molina (45)
    El MolinonAttendance (15156)
    Teams
    05 May 
    Valencia1 - 0Villarreal
    OG Jonas (90) 
    MestallaAttendance (48000)
    Teams

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AMGARAGAZA RONALDO USIKU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top