• HABARI MPYA

    Thursday, July 12, 2012

    PATI LA UBINGWA SIMBA SC, CHEKI SWAGA

    Boban akihojiwa na kujieleza kwa nini alikosa penalti- alijibu inatokea, ilimuumiza, lakini anashukuru timu imeshinda

    Cheki Danny Mrwanda anavyong'ara Simba, ndio nyumbani kwake 

    Pongezi za ubingwa; Kab uru kushoto na Nyosso mbele kulia

    Masombo Lino amekiri Kaseja ni noma

    Kiggi akabidhiwa jezi ya Azam

    Pro Danny na swaga za pro kweli

    Ubingwa raha

    Milovan anaangalia saa dakika chache kabla ya mechi kwisha



    Uhuru na ubingwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PATI LA UBINGWA SIMBA SC, CHEKI SWAGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top