• HABARI MPYA

    Sunday, September 09, 2012

    AKINA KIIZA, OKWI WAKOMAA ZAMBIA, WAPIGWA KIDUDE TU UGENINI TENA KWA MBINDE


    Na Emeka Enyadike 
    NI kimbembe kwa timu za Afrika kuwania nafasi 15 za kuungana na wenyeji Afrika Kusini kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani. 
    Uganda, The Cranes ikiongozwa na washambuliaji wawili wanaocheza Tanzania, Hamisi Kiiza wa Yanga na Emanuel Okwi wa Simba ilifungwa bao 1-0 jana na Zambia mjini Lusaka.
    Tazama matokeo kamili ya mechi za jana na ratiba ya mechi za leo.

    Jumamosi
    15:00 Zambia 1-0 Uganda
    16:00 Central African Republic 1-0 Burkina Faso
    16:30 Gabon 1-0 Togo
    17:00 Ghana 2-0 Malawi
    18:30 Sierra Leone 2-2 Tunisia
    19:00 Mali 3-0 Botswana
    19:00 Cape Verde Islands 2-0 Cameroon
    19:00 Sudan 5-3 Ethiopia
    19:00 Ivory Coast4-2 Senegal
    20:00 Liberia 2-2 Nigeria 

    Ratiba leo Jumapili
    Saa 10:00 jioni   Zimbabwe v Angola
    Saa 10:00 jioni   Mozambique v Morocco
    Saa   2:00 usiku Guinea v Niger
    Saa   2:00 usiku Libya v Algeria

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AKINA KIIZA, OKWI WAKOMAA ZAMBIA, WAPIGWA KIDUDE TU UGENINI TENA KWA MBINDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top