![]() |
Kikosi cha
Azam kilichofungwa mabao 2-0 na Shark FC katika mchezo wa Kundi B Kombe la
Hisani kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, DRC juzi.
|
![]() |
Nahodha Jabir Aziz akilalamika dhidi ya maamuzi ya refa |
![]() |
Viongozi, Abubakar Mapwisa kushoto na Nassor Idirsa wakiwa kwenye benchi |
![]() |
Nahodha Jabir Aziz kulia akipambana na kiungo wa Shark |
![]() |
Mshambuliaji Gaudence Mwaikimba akimtoka mtu |
![]() |
Kiungo Humphrey Meino aliyeruka hewani |
![]() |
Beki Malika Ndeule anapanda |
![]() |
Seif Abdallah mawindoni |
![]() |
Waziri Salum anamburuza mtu |
![]() |
Mwaikimba anamkokota mtu |
![]() |
Mwaikimba hewani |