![]() |
Mwakilishi
wa jimbo la Raha Leo, Salum Nassor ‘Aljazeera’ akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hajji Omar Kheir katika mechi ya
jana.
|
![]() |
Mgeni rasmi,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Dk. Mwinyihajji Makame Mwadini
akisalimiana na mchezaji mkongwe wa Miembeni FC, Monja Liseki kabla ya mchezo
wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa jana kwenye Uwanja wa Amaan,
Zanzibar.
|
![]() |
Mgeni rasmi,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Dk. Mwinyihajji Makame Mwadini
akiwa na Rais wa ZFA, Aman Ibrahim Makungu kulia na Mwenyekiti wa zamani wa FAT (sasa TFF), Mzee Said Hamad El Maamry katika mchezo
wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa jana kwenye Uwanja wa Amaan,
Zanzibar.
|
![]() |
Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall akiwa na msaidizi wake Suren Lurz anayejifunza kutoka Ujerumani, |
![]() |
Nahodha wa Tusker, Joseph Shikokoti aliyekuwa anatumikia adhabu ya kadi jana, akiwa na Mkenya mwenzake anayechezea Azam, Joackins Atudo wakifuatilia mchezo wa jana |
![]() |
Wachezaji wa Azam kutoka kulia Humphrey Mieno, Kipre Balou na Brian Umony wakifuatilia mchezo wa jana |
![]() |
Roshwa akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Tusker |
![]() |
Kiungo wa Miembeni, Issa Othman 'Amasha' akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker |
![]() |
Mshambuliaji wa Miembeni, Laurent Mugia akigombea mpira na beki wa Tusker Luke Ochieng |
![]() |
Kipa wa Tukser, Samuel Odhiambo akidaka mpira wa kona mbele ya wachezaji wa Miembeni, huku akilindwa vema na mabeki wake |