![]() |
| Kipa Shaaban Dihile akiwa amedaka penalti ya Shomary Kapombe, ambayo awali aliipangua ikagonga mwamba wa kushoto na kurudi uwanjani, ndipo akaichupia. |
![]() |
| Wadau wa Simba wakifuatilia mchezo kwa raha zao |
![]() |
| Kikosi cha Simba leo |
![]() |
| Kikosi cha JKT Ruvu leo |
![]() |
| Kocha Mfaransa wa Simba, Patrick Liewig |
![]() |
| Wachezaji wa JKT wakisali baada ya mechi |
![]() |
| Dihile amepangua penalti |
![]() |
| Kiemba akifunga baada ya kuwachenga Jimmy Shoji na kipa wake Dihile, aliyelala chini |
![]() |
| Kiungo wa Simba akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa JKT, Jimmy Shoji na Nashon Naftali |
![]() |
| Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa JKT, Damas Makwaya |
![]() |
| Abdallah Juma wa Simba akimtoka beki wa JKT, Damas Makwaya |
![]() |
| Damas Makwaya kulia na Jimmy Shoji kushoto wakimdhibiti Ngassa |
![]() |
| Kiungo Haruna Moshi wa Simba, akimiliki mpira mbele ya beki wa JKT Ruvu, Mussa Holoa |
![]() |
| Damas Makwaya akiwa amempitia kiungo wa Simba, Haroun Athumani |
![]() |
| Jimmy Shoji akiondosha mpira kwenyhe hatari mbele ya wachezaji wa Simba, Ramadhan Chombo kulia na ABdallah Juma kushoto |
![]() |
| Mrisho Ngassa akimtoka Jimmy Shoji |
![]() |
| Shomary Kapombe akitoka uwanjani kinyonge baada ya kukosa penalti dakika za lala salama |
![]() |
| Mashabiki wa Simba SC |
![]() |
| Amri Kiemba akimtoka Jimmy Shoji |
![]() |
| Kisimba Luambano akimpunguza kasi kwa kwanja kiungo wa Simba, Amri Kiemba |
![]() |
| Damas Makwaya akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Simba, Haroun Athumani |
























.png)