![]() |
Domayo akinyoosha viungo |
![]() |
Kevin Yondan akifurahia jambo wakati wa mazoezi |
![]() |
Thomas Ulimwengu akinyoosha viungo |
![]() |
Shomary Kapombe akipiga danadana |
![]() |
Kapombe kushoto na Mwinyi Kazimoto kulia wakinyoosha viungo |
![]() |
Amri Kiemba kushoto na Mrisho Ngassa kulia wakinyoosha viungo |
![]() |
Simon Msuva kulia akinywa maji huku Nadir Haroub 'Cannavaro' akimsubiria abakishe naye amalizie |
![]() |
Makipa wa Stars wakijifua, kutoka kulia Juma Kaseja, Aishi Manula na Mwadini Ally |
![]() |
Kocha Mdenmark, Kim Poulsen akiwaongoza vijana kwa nadharia na vitendo |
![]() |
Mwinyi Kazimoto kulia na Mrisho Ngassa kushoto |
![]() |
Simon Msuva akipiga mpira |
![]() |
Beki Issa Rashid akimiliki mpira mbele ya Erasto Nyoni na Shaaban Nditi |
![]() |
Msuva akijiandaa kupokea pasi |
![]() |
Erasto Nyoni akipasua |
![]() |
Athumani Iddi 'Chuji' akipoza koo kwa maji Uhai |
![]() |
Nadir Haroub 'Cannavaro' akigombea mpira dhidi ya Juma Kaseja, huku Aishi Manula akiwa tayari kumsaidia |
![]() |
Athumani Iddi 'Chuji' akiondoka na mpira |