![]() |
Athumani Iddi 'Chuji' kulia akimpongeza Nizar. Mwingine kulia ni Frank Domayo |
![]() |
Chuji anafumua shuti |
![]() |
Simon Msuva anapasua katikati ya mabeki ya Lyon |
![]() |
Shujaa wa Yanga leo, Jerry Tegete |
![]() |
Hamisi Kiiza akikabiliana na beki wa Lyon |
![]() |
Haruna Niyonzima anamtoka beki wa Lyon |
![]() |
Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
Kikosi cha Lyon leo |
![]() |
Didier Kavumbangu akishangilia bao lake |
![]() |
Simon Msuva akichanja mbuga |
![]() |
Mabeki wa Lyon, wakimdhibiti Kiiza |
![]() |
Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Lyon |
![]() |
Kavumbangu nyuma akimpongeza Nizar |
![]() |
Juma Abdul akichuana na beki wa Lyon |
![]() |
Jerry Tegete akijaribu kubinuka tik tak katikati ya mabeki wa Lyon |
![]() |
Jerry Tegete kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Lyon |
![]() |
Tegete anafumua shuti |
![]() |
Haruna Niyonzima akienda chini baada ya kugongana na beki wa Lyon |
![]() |
Kiiza kushoto akiwatoka mabeki wa Lyon |
![]() |
Tegete akiwa chini baada ya kuzidiwa nguvu na mabeki wa Lyon |