• HABARI MPYA

    Monday, April 15, 2013

    YANGA WAKIONDOKA DAR LEO KWENDA TANGA TAYARI KUKIPIGA NA MGAMBO KESHOKUTWA

    Wachezaji wa Yanga SC; Oscar Joshua kulia na Said Bahanuzi wakiwa ndani ya basi lao, tayari kwa safari ya Tanga kwenda kucheza na wenyeji, JKT Mgambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

    Beki mkongwe wa Yanga SC, Nsajigwa Shadrack akizungumza na kocha wake, Ernie Brandts kulia 

    Huyu si Mmasaai;  Jerry Tegete akipanda basi

    Mbuyu Twite akipanda basi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA WAKIONDOKA DAR LEO KWENDA TANGA TAYARI KUKIPIGA NA MGAMBO KESHOKUTWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top