• HABARI MPYA

    Wednesday, May 08, 2013

    ARSENAL WAPATA MKATABA MPYA MNONO WA UDHAMINI KUTOKA PUMA, YAWAPIGA CHINI NIKE


    MEI 8, 2013
    KLABU ya Arsenal imepata mkataba mnono wa udhamini wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Puma.

    The Gunners wanapata Pauni Milioni 30 kwa mwaka ndani ya miaka mitano ya udhamini wa Emirates. 
    Sasa wamefikia makubaliano na kampuni ya Boston ya Pauni Milioni 30 kwa mwaka, ndani ya miaka mitano kuanzia mwishoni mwa msimu wa 2013/14.
    Raking it in: Arsenal have agreed a £30m-a-year deal with Puma in the most lucrative kit contract in Britain
    Matawi: Arsenal imekubali mkataba wa Pauni Milioni 30 kwa mwaka na Puma 
    End of an era: Arsenal will finish their 20-year association with Nike
    Mwisho wa zama zao: Arsenal itahitimisha miaka 20 ya kuvaa Nike
    Dili hilo ni bao kwa Liverpool inayopata Pauni Milioni 25 kwa mwaka kutoka Warrior na dalili za kumalizika kwa uhusiano wa miaka 20 baina ya Arsenal na Nike, ambao walikuwa wanatoa kiasi cha Pauni Milioni 55 zaidi ya miaka saba. 
    Mkataba wa miaka 15 wa Manchester United na Nike ni wa kiasi cha Pauni Milioni 287.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ARSENAL WAPATA MKATABA MPYA MNONO WA UDHAMINI KUTOKA PUMA, YAWAPIGA CHINI NIKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top