• HABARI MPYA

    Tuesday, May 14, 2013

    BARCA WAMIMINIKA MITAANI KUIFUNDISHA YANGA SC KUSHANGILIA UBINGWA...ILIKUWA BAALA HADI VICHUPI NJE NJE

    IMEWEKWA MEI 14, 2013 SAA 1:00 ASUBUHI
    MASHABIKI wa Barcelona waliandamana mitaani jana kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Hispania waliotwaa mikononi mwa wapinzani wao, Real Madrid.  
    Lilikujwa bonge la sherehe kupokea taji la nne ndani ya miaka mitano. Angalia mapicha hayo.
    SCROLL DOWN FOR VIDEO
    Park the bus: Barcelona's title winners were celebrated on the streets of the city this evening in Spain
    Barcelona
    Passionate following: The club's fans turned out in huge numbers to celebrate their latest triumph
    Great achievement: Coach Tito Villanova battled throat cancer earlier in the season to inspire his team
    Mafanikio makubwa: Kocha Tito Villanova
    More than a club? Barca are among the world's most popular teams
    Zaidi ya klabu? Barca ni miongoni mwa klabu kubwa na maarufu duniani
    The world's best? Lionel Messi was understandably at the centre of the celebrations
    Bora duniani? Lionel Messi alikuwepo kwenye sherehe
    Look of concern? Or just disappointment at not being involved in this season's Champions League final?
    All shapes and sizes: There was great variety to be seen among those present
    Shepu na ukubwa wa aina zote: Ilikuwa pati ya aina yake na vichupi ndani
    Barca fan
    Barca fan
    Kichaa? Hapana ni furaha tu
    Fashion parade? Brazil's Dani Alves has never been a shy individual
    Gwaride la aina yake? Mbrazil Dani Alves huwa hana aibu
    Social networking: Cesc Fabregas tweeted an image of he, Messi and Alexis Sanchez
    Mtandao wa kijamii: Cesc Fabregas ametweet picha akiwa na Messi na Alexis Sanchez
    Dramatic exit? David Villa could leave Barca this summer despite being such a quality player
    Anaondoka vizuri? David Villa anaweza kuondoka Barca licha ya kuwa mchezaji bora
    Great story: Eric Abidal recovered from a liver transplant to return to Barca's first team
    Habari kubwa: Eric Abidal alipona baada ya kufanyiwa upasuaji wa ini na kurejea kikosi cha kwanza cha Barca
    Fans' favourite: Xavi gives the thumbs up to those present
    Kipenzi cha mashabiki: Xavi kwa raha zake
    VIDEO: GERARD DEULOFEU, KIPAJI BABU KIFUATACHO BARCELONA

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BARCA WAMIMINIKA MITAANI KUIFUNDISHA YANGA SC KUSHANGILIA UBINGWA...ILIKUWA BAALA HADI VICHUPI NJE NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top