• HABARI MPYA

    Saturday, May 11, 2013

    MAN CITY YATOKA KAPA 2013, YAPIGWA KIDUDE DAKIKA YA MWISHO NA WIGAN FAINALI KOMBE LA FA WEMBLEY, MANCINI KWAHERI

    IMEWEKWA MEI 11, 2013 SAA 3:35 USIKU
    BAO la Ben Watson katika dakika ya mwisho kabisa jioni hii limeipa Wigan ubingwa wa Kombe la FA kwa mara ya kwanza kabisa ikiichapa Manchester City 1-0 kwenye Uwanja wa Wembley.
    Nyota huyo aliyetokea benchi alifunga kwa kichwa akiunganisha kona na kuwa shujaa wa mashabiki wa Wigan na kumfanya Roberto Mancini arejee nyumbani mikono mitupu.
    Man City ilimaliza pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Zabaleta kutolewa nje kwa kadi nyekundu daika ya 84.
    Katika mchezo huo, kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Silva, Toure , Barry/Dzeko dk90, Nasri/Milner dk54, Aguero na Tevez/Rodwell dk69.
    Wigan: Robles, Boyce, Scharner, Alcaraz, Espinoza, McCarthy, McArthur, Gomez/Watson dk81, McManaman, Kone na Maloney.
    Delight: Ben Watson headed home in the last minute as Wigan wont heir first ever FA Cup in dramatic style

    Rahaaa: Ben Watson akishangilia bao lake la ubingwa wa FA
    Despairing: Joe Hart couldn't keep Watson's header out as Wigan won their first ever major trophy
    Joe Hart akiruka bila mafanikio
    Borrowed time: Mancini is set for a Manchester City exit with Malaga's Manuel Pelligrini lined up to take over
    Mancini sasa anaweza kutimuliwa Manchester City akimpisha kocha wa Malaga, Manuel Pelligrini
    Head in hands: Sergio Aguero reacts to a missed chance for Manchester City
    Sergio Aguero akijutia kupoteza nafasi ya kufunga
    Battle: City midfielder Yaya Toure is tackled by Wigan's Paul Scharner
    Kiungo wa City, Yaya Toure akikabiliana na Paul Scharner wa Wigan
    Decisions: Both managers issue instructions to their team during the match
    Refa mudaa: makocha wote walikuwa bize leo
    Routine: The Wigan team huddle up on the pitch just prior to kick off at Wembley
    Dua iliyopokewa: Wachezaji wa Wigan wakiomba dua kabla ya mechi
    In the spirit: A Manchester City fan enjoys himself before the match
    Shabiki wa Manchester City akifurahia na Kombe bandia kabla ya mechi
    Support: Two Manchester City fans wear Mancini masks at Wembley
    Mashabiki wawili wa Manchester City wakiwa wamevaa sura bandia za Mancini leo Wembley
    Special delivery: The trophy is brought out into the stadium
    Kombe halisi: Kombe la FA likiwasilishwa uwanjani
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN CITY YATOKA KAPA 2013, YAPIGWA KIDUDE DAKIKA YA MWISHO NA WIGAN FAINALI KOMBE LA FA WEMBLEY, MANCINI KWAHERI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top