• HABARI MPYA

    Monday, May 06, 2013

    NANCY NDIYE REDD'S MISS ARUSHA CENTRE 2013

    Redd’S Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi akipunga mkono mara baada ya kutawazwa mshindi wa Taji hilo katika shindano lililofanyika Usiku wa kuamkia jana jijini Arusha. Nancy aliwashinda warembo wenzake 10 waliokuwa wakiwania nae taji hilo. (Picha na Mpigapicha).

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NANCY NDIYE REDD'S MISS ARUSHA CENTRE 2013 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top