IMEWEKWA JULAI 16, 2013 SAA 7:33 MCHANAWinda Ushinde; Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya kati Octavian Migire, kushoto kwake ni mama mdogo wa Blanca, Mwalimu Theresia Masashua kutoka Turiani, Bianca ni mshindi wa tatu kujishindia shilingi milioni moja katika promosheni hiyo ya Winda na Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.; |