• HABARI MPYA

    Saturday, July 13, 2013

    DAKIKA 90 ZA MAJANGA KWA STARS TAIFA LEO, NGASSA ALISHIKWA HASWA LEO

    IMEWEKWA JULAI 13, 2013 SAA 1:30 USIKUMamaaa!; Brian Majwega wa Uganda akimdhibiti Mrisho Ngassa (nyuma) wa Tanzania katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza kuwanai ti8keti ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), zinazohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee. Uganda ilishinda 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

    Nahodha wa Uganda, Hassan Wasswa kushoto na John Bocco wa Tanzania kulia

    Wasswa kulia na Majgwega kushoto wakimdhibiti Nyoni

    Richard Kasaga wa Uganda akikabiliana na John Bocco wa Tanzania

    Shomary Kapombe akimtoka Nico Wadada

    Richard Kasaga akimtoka Mrisho Ngassa

    Hamza Muwonge akiwa hewani kudaka mpira wa juu dhidi ya Aggrey Morris wa Tanzania

    Mwinyi Kazimoto wa Tanzania akimtoka Said Kyeyune wa Uganda

    Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka Savio Kabugo

    Bocco anapeleka pasi kwa Kazimoto...huku Kasaga akijaribu kumdhibiti

    Mpira wa juu unagombewa na wanaume
    Wafungwa; Kikosi cha Stars kilichopigwa 1-0 na Uganda leo

    Wanaume wa shoka; Kikosi cha Uganda kilichoilaza 1-0 Tanzania nyumbani leo

    Mbuzi anapelekwa machinjioni

    Ngassa akijaribu kumgeuza Nico Wadada

    Huzuni; Mashabiki wa Tanzania kama unavyowaona, furaha yote imetoweka

    We kocha vipiii; Athumani Iddi 'Chuji' alipasha misuli moto kwa muda mrefu bila kuingia uwanjani, hadi akaamua kurudi kuketi alipoona dakika za nyongeza zimeonyeshwa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DAKIKA 90 ZA MAJANGA KWA STARS TAIFA LEO, NGASSA ALISHIKWA HASWA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top