![]() |
Wafanyakazi wa TBL wakitoka makao makuu ya kampuni hiyo, Ilala, Dar es Salaam wakati wa maandamano ya kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. |
![]() |
Wafanyakazi wa TBL wakipata kinywaji wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. |
. |