![]()  | 
| Mshambuliaji Seif Abdallah Karihe akitibiwa na daktari wa timu, Vincent Madege baada ya kuumia kifundo cha mguu mazoezini leo | 
![]()  | 
| Beki Erasto Nyoni akipewa mazoezi mepesi na Dk, Madege leo | 
![]()  | 
| Kikao cha dharula; Kocha Stewart Hall akijadiliana na wasaidizi wake Ibrahim Shikanda kulia na Kali Ongala kushoto wakati wa mazoezi leo | 
![]()  | 
| Beki Agrey Morris kulia akimtoka mshambuliaji Kipre Tchetche mazoezini leo | 
![]()  | 
| Beki David Mwantika akimtoka Khamis Mcha Vialli nyuma yake. Wengine nyuma ni Waziri Salum na kulia ni Jabir Aziz | 
![]()  | 
| Injini ya timu; Salum Abubakar 'Sure Boy' yuko fiti kabisa kwa mchezo wa kesho | 
![]()  | 
| Mlinzi Mkuu; Beki wa kati Aggrey Morris yuko tayari kwa shughuli ya maafande wa JWTZ kesho | 
![]()  | 
| Jabir Aziz kushoto akiwania mpira na Mudathir Yahya | 
![]()  | 
| Kocha Msaidizi, Kali Ongala alishiriki mazoezi | 
![]()  | 
| John Bocco 'Adebayor' alikuwa nje kabisa akipiga stori na Meneja Jemadari Said kwa sababu ya maumivu | 
![]()  | 
| Himid Mao akijimwagia maji mazoezini leo | 














.png)