![]() |
| Refa akishuhudia Cheka na Williams |
![]() |
| Cheka na Williams |
![]() |
| Kitu kimefika, Cheka anaadhibu mtu |
![]() |
| Cheka kulia |
![]() |
| Hiyo kaiona; Williams akiinama kuipisha ngumi ya Cheka |
![]() |
| Hiyo je? |
![]() |
| Na hiyo? |
![]() |
| Konde la Thomas Mashali likiwa limetua kidevuni mwa Mada Maugo katika pambano la Raundi 10. Mashali alishinda kwa pointi |
![]() |
| Inaitwa 'left hook' ya Mashali ikiwa imefika shavu la Maugo |
![]() |
| Lakini Maugo alifanikiwa kumchana Mashali |
![]() |
| Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akiwa na mabondia Cheka na Williams kabla ya pambano lao |
![]() |
| Cheka alifanya vizuri jana |
![]() |
| Hili kofi; Cheka akimtandika Williams |
![]() |
| Mfalme; Cheka akiwa amebebwa juu juu baada ya pambano |
![]() |
| Wazee wa Azam; Kulia Nassor Idrisa 'Father' na kushoto Abubakar Mapwisa 'BIN ZUBEIRY' |
![]() |
| Bosi na wapambe; Mmiliki wa kampuni ya Global Publisher Limited, Eric Shigongo akiwa na vijana wake jana |
![]() |
| Bingwa wa zamani wa dunia, Francois Botha wa Afrika Kusini kushoto akiwa na BIN ZUBEIRY jana |
![]() |
| King Class kulia akimtupia kitu Simba Watunduru |
![]() |
| Makaburu walipokutana; Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia na Botha |
![]() |
| Mashali na Maugo |
![]() |
| Mashali alikalishwa chini na Maugo jana |
![]() |
| Jamal Malinzi na Botha |
![]() |
| Mchumia Tumbo akiwa amemkalisha chini Chupindi |
![]() |
| Francis Miyeyusho kushoto |



























.png)