![]() |
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiinua Ngao |
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadik kulia akimkabidhi Ngao, Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' |
![]() |
Mshindi wa mechi; Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadik akimkabidhi Medali ya Dhahabu, kiungo wa Yanga na mfungaji wa bao pekee la ushindi leo, Salum Telela |
![]() |
Juma Abdul wa Yanga akipambana na Waziri Salum wa Azam FC |
![]() |
Hussein Javu kushoto akikabiliana na beki wa Azam FC, Joackins Atudo kulia. Kushoto ni Simon Msuva. |
![]() |
David Luhende wa Yanga akikabiliana na Khamis Mcha 'Vialli' wa Azam |
![]() |
Kipre Balou akikabiliana na Simom Msuva |
![]() |
Kipre Balou na Msuva |
![]() |
Athumani Iddi 'Chuji' akiwa amepinduka chini katika harakati za kuwania mpira |
![]() |
Simon Msuva akimiliki mpira pembeni ya Kipre Balou |
![]() |
Wajina; Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto akimtoka Salum Telela |
![]() |
Salum wa Yanga na Salum wa Azam |
![]() |
Washindi wa Ngao; Yanga SC kikosi cha leo |
![]() |
Azam FC leo |
![]() |
Kipa Aishi Manula akipangua mpira |
![]() |
John Bocco 'Adebayor' wa Azam kulia akigombea mpira na Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga kushoto |
![]() |
Kipre Balou kulia akimtoka Jerry Tegete |
![]() |
David Luhende na Khamis Mcha 'Vialli' kushoto |
![]() |
John Bocco akikosa bao la wazi. Hapa alimuumiza Kevin Yondan ambaye alishindwa kuendelea na mchezo dakika ya 11 |
![]() |
Kevin Yondan akitibiwa |
![]() |
Anatolewa nje... |
![]() |
Khamis Mcha 'Vialli' alikosa bao la wazi hapa baada ya kazi nzuri ya Kipre Tchetche ambaye pia alimuumiza kipa wa Yanga, Ally Mustafa Barthez akashindwa kuendelea na mchezo dakika ya 15 |
![]() |
Kipa Deo Munishi 'Dida' wa Yanga SC akidaka kichwani kwa John Bocco |
![]() |
Mbuyu Twite kulia na John Bocco |
![]() |
Nadir Haroub 'Cannavaro' akipambana na John Bocco |
![]() |
Cannavaro akilalamika kwa kumshika mashavu mwamuzi msaidizi, Hamisi Chang'walu |
![]() |
Kutoka kulia Didier Kavumbangu, Nadir Cannavaro na kipa Deo Munishi |
![]() |
David Mwantika akikabiliana na Hussein Javu wa Yanga |
![]() |
Hapa Aishi Manula alipishana na mpira wa adhabu uliopigwa na Haruna Niyonzima, uligonga mwamba wa juu ukashuka chini na kuondoshwa kwenye hatari |
![]() |
Didier Kavumbangu akimuacha chini Aggrey Morris |
![]() |
Didier Kavumbangu na Aggrey Morris |
![]() |
Hussein Javu na Salum Abubakar 'Sure Boy' wakigombea mpira wa juu |
![]() |
Aishi Manula akidaka, huku Hussein Javu akipitiliza na David Mwantika akiwa tayari kutoa msaada |