![]() |
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akiondoka na mpira baada ya kumlamba chenga ya hatari beki wa Spice kwenye chaki |
![]() |
Kiungo wa Azam FC, ambao ni mabingwa mara mbili wa Kombe la mapinduzi, Himid Mao akiwatoka mabeki wa Spice |
![]() |
Beki wa Spice, akiwa ameudodokea mpira huku mshambuliaji wa Azam FC, Muamad Ismael Kone akitafuta maarifa ya kuuchukua |
![]() |
Kiungo wa Spice akijaribu kumtoka Himid Mao |
![]() |
Muamad Ismael Kone anaugulia maumivu chini huku Kipre Tchetche akipambana na mabeki wa Spice kugombea mpira |
![]() |
Joseph Kimwaga akitoa pasi mbele ya mabeki wa Spice |
![]() |
Brian Umony akipambana na beki wa Spice |
![]() |
Joseph Kimwaga akiruka hewani kupiga mpira kichwa |
![]() |
Kone akiambaa na mpira |
![]() |
Brian Umony akimtoka beki wa Spice |
![]() |
Kikosi cha Azam leo |
![]() |
Kikosi cha Spice |
![]() |
Mashabiki wakifuatilia mchezo |
![]() |
Wakala wa wachezaji anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Ali Saleh kushoto akihojiwa na mtangazaji wa Redio ABM, Abdallah Majira kulia |
0 comments:
Post a Comment