• HABARI MPYA

    Wednesday, August 06, 2014

    SAGNA APEWA JEZI NAMBA TATU NA KUANZA RASMI KAZI MAN CITY, NASRI AMFURAHIA ILE MBAYA


    Karibu sana: Beki Bacary Sagna kutoka Arsenal akiwa ameshika jezi namba tatu aliyokabidhiwa katika timu yake mpya, Manchester City baada ya kujiunga nayo tasmi jana na kuanza mazoezi Uwanja wa Etihad mjini Manchester.
    All smiles: Sagna shares a joke with City's head of media relations Simon Heggie (left) after being unveiled 
    Sagna akitaniana na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Man City, Simon Heggie (kushoto) baada ya kutambulishwa
    New arrival: Nasri introduces his former Arsenal team-mate Bacary Sagna to his manager Pellegrini
    Samir Nasri akimtambulisha mchezaji menzake wa zamani wa Arsenal, Bacary Sagna kwa kocha wao Pellegrini
    Reunited: The duo have both played together at Arsenal in the past
    Wameungana tena: Wafaransa hao wawili awali walicheza pamoja Arsenal 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAGNA APEWA JEZI NAMBA TATU NA KUANZA RASMI KAZI MAN CITY, NASRI AMFURAHIA ILE MBAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top