• HABARI MPYA

    Friday, November 14, 2014

    FRIENDS RANGERS 'ILIPOWATEDA' MAJIMAJI JANA KARUME LIGI DARAJA LA KWANZA

    Kiungo wa Majimaji ya Songea, Gerard Mbenna akipasua katikati ya wachezaji wa Friends Rangers katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Rangers ilishinda 2-1.
    Beki wa Majimaji, Ally Mohamed akiteleza kuonda mpira miguuni mwa winga wa Rangers, Khalid Twahir.
    Kiungo wa Rangers, Cred Mwaipopo kulia akimtia tobo beki wa Majimaji, Samir Said 
    Winga wa Rangers, Iddi Ismail akimuacha chini baada ya kumlamna chenga beki wa Majimaji 
    Mchezaji wa Rangers, Eliutel Justine (juu) akipambana na mchezaji wa Majimaji, Sadiq Gawaza
    Mashabiki wa Rangers wakifurahia na mchezaji wao, Yussuf Mgwao jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FRIENDS RANGERS 'ILIPOWATEDA' MAJIMAJI JANA KARUME LIGI DARAJA LA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top