| Kocha Mscotland, David Moyes akipunga mkono baada ya kuwasili makao makuu ya klabu ya Real Sociedad, Hispania leo tayari kuanza kazi ya kuifundisha klabu hiyo. |
![]() |
| Moyes anarudi kazini tangu afukuzwe Manchester United mwishoni mwa msimu uliopita |
![]() |
| Wachezaji wa Real Sociedad wakiwa tayari kukutana na mwalimu wao mpya |




.png)
0 comments:
Post a Comment