• HABARI MPYA

    Sunday, November 02, 2014

    SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA JAMHURI

    Beki wa kushito wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia akiwania mpira dhidi ya beki wa kulia wa Mtibwa Sugar, Hassan Ramadhani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri, Moeogoro. Timu hizo zilitoka 1-1.
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ame Ally kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Simba SC, Hassan Isihaka
    Mshambuliaji wa Mtibwa, Mussa Hassan Mgosi akimtoka Tshabalala wa Simba SC
    Andr
    Emmanuel Okwi wa Sumba SC akigombea mpira na Andrew Vincent wa Mtibwa
    Elias Maguri wa Simba SC kulia akitafuta maarifa ya kumtoka Salim Mbonde wa Mtibwa

    Jonas Mkude wa Simba SC akimtoka Mgosi
    Kipa Peter Manyika kulia akimpongeza Nahidha wake, Joseph Owino baada ya kufunga bao la kuongoza jana. Kushoto ni Maguri

    Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Mtibwa, Majaliwa Shaaban 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top