![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0. |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mafunzo |
![]() |
Beki wa Simba SC, Hassan Banda (kulia) akipambana na mchezaji wa Mafunzo |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba, Dan Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mafunzo |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia akimtoka beki wa Mafunzo |
![]() |
Mchezaji wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwa ameruka dhdi ya mabeki wa Mafunzo na kipa wao kuwania mpira wa juu |
0 comments:
Post a Comment