• HABARI MPYA

    Saturday, April 11, 2015

    JONJO LAINUSURU SWANSEA KUZAMA KWA EVERTON

    The midfielder salutes the home crowd after netting the equaliser for Swansea in the Saturday lunch-time kick-off 
    Kiungo wa Swansea City, Jonjo Shelvey akiwapa ishara mashabiki baada ya kuifungia timu hiyo kwa penalti dakika ya 69, likiwa la kusawazisha katika sare ya 1-1 baada ya Aaron Lennon kutangulia kuifungia dakika ya 41 Uwanja wa Liberty.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3034882/Swansea-1-1-Everton-Jonjo-Shelvey-scores-spot-Aaron-Lennon-opener-hosts-make-point-Liberty.html#ixzz3X12vox8Q 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JONJO LAINUSURU SWANSEA KUZAMA KWA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top