Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney (kushoto) na winga Ashley Young baada ya kuwasili London kwa treni Ijumaa tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi dhidi ya vinara, Chelsea Uwanja wa Stamford Bridge.
Washambuliaji Radamel Falcao (kushoto) na Robin van Persie (kulia)
Kocha Mkuu wa United, Louis van Gaal akiwa na Msaidizi wake, Ryan Giggs
0 comments:
Post a Comment