HII NDIYO YANGAAA, DOLA 100,000 'ZAANIKWA UBAONI' TIMU IKIBEBA NGAO
Beki mpya wa Yanga SC kutoka Togo, Vincent Bossou (katikati) anayedaiwa kusajiliwa kwa dola 100,000 za Kimarekani (Sh. Milioni 200) akifuatilia mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC akiwa benchi jana kwa dakika zote 90. Yanga SC ilishinda kwa penalti 8-7 kufuatia sare ya 0-0.
0 comments:
Post a Comment