TAMASHA LA BAGAMOYO 2015 NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI
Tamasha la 34 la kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo, linatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 21 hadi 27 mwaka huu na kaulimbiu ni; "Sanaa na Utamaduni katika Uchaguzi huru na Amani". Vikundi na wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki tamasha hilo la kila mwaka Bagamoyo mkoani Pwani.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment