MSHAMBULIji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake mpya Fenerbahce, kiungo Mjerumani, Mesut Ozil (katikati) kwenye mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki kesho dhidi ya Rizespor kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Ulker Fenerbahçe Sukru Saracoglu Sports Complex Jijini İstanbul
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment