SIMBA SC YASAJILI BEKI MPYA MZIMBABWE PETER MADUHWA KUTOKA HIGHLANDERS YA BULAWAYO
BEKI wa kimataifa wa Zimbabwe, Peter Muduhwa amejiunga na Simba SC kutoka Highlanders FC ya kwao, Bulawayo kuimarisha kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.
0 comments:
Post a Comment