Mwanzo > SIMBA > SIMBA SC YAMSAJILI WINGA HATARI MZIMBABWE, PERFECT CHIKWENDE KUTOKA FC PLATINUM YA BULAWAYO HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SIMBA SC YAMSAJILI WINGA HATARI MZIMBABWE, PERFECT CHIKWENDE KUTOKA FC PLATINUM YA BULAWAYO KLABU ya Simba SC imemtambulisha winga Mzimbabwe, Perfect Chikwende kama mchezaji wake mpya kutoka FC Platinum ya Bulawayo nchini Zimbabwe.Huyo anakuwa mchezaji mpya wa pili tu Simba SC katika dirisha hili dogo, baada ya kiungo Mganda, Thadeo Lwanga. Saturday, January 16, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment