YANGA SC YAIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI BEKI WA KATI CHIPUKIZI DICKSON JOB KUTOKA MTIBWA SUGAR
KLABU ya Yanga imetangaza kumsajili beki chipukizi wa Mtibwa Sugar, Dickson Nickson Job (20) kwa mkataba wa miaka miwili na nusu likiwa ingizo jipya la pili katika dirisha dogo baada ya Mrundi, Said Ntibanzokiza
Item Reviewed: YANGA SC YAIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI BEKI WA KATI CHIPUKIZI DICKSON JOB KUTOKA MTIBWA SUGAR
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment